ST. RITA SECONDARY SCHOOL
P.O. Box 143 Makambako | Barua Pepe: kashiaritha@gmail.com
Wasiliana Nasi: 0754000385 / 0769643001 / 0713888326 / 0673200385
NAMBA YA USAJILI: S.5668
INATANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO KIDATO CHA KWANZA 2026
NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA 2026 NA KUHAMIA
- Mitihani ya kujiunga itafanyika shuleni siku ya Jumamosi Tarehe 20/09/2025 na Jumamosi Tarehe 27/09/2025
- Shule inalea wanafunzi kwenye misingi ya kidini na maadili mema.
- Tunapokea wanafunzi wa dini zote na Mazingira yetu ni rafiki kwa elimu.
- Shule ina Maabara za kisasa, na Viwanja vya michezo.
- Shule ni ya Bweni kwa wanafunzi wa jinsia zote.
- Shule ina walimu waliobobea kwenye masomo ya Sayansi na Sanaa.
FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA;
- SHULENI ST. RITA (Nyigo)
- PAROKIA YA NYIGO
- SHULE YA MSINGI VIZIWI NJOMBE
FOMU italipiwa Tsh. 10,000/= Tu Inapochukuliwa.
SHULE IPO NYIGO KM 10 KUTOKA MAKAMBAKO MJINI KWENYE BARABARA KUU IENDAYO IRINGA.
Ada zetu ni nafuu sana
KARIBUNI SANA
“QUALITY EDUCATION FOR BRIGHT FUTURE”
